Picha ya mfano ya mazingira ya teknolojia na ubunifu
PRINTING & TECHNOLOGY · ARUSHA, TANZANIA

Mawazo yanapokutana na uwezekano.

Mifumo yenye mpangilio. Design yenye maana. Machapisho unayoshika.

WAZO MOJA. UWEZEKANO MWINGI.

Hatua inayofuata iwe na maana.

01

Pangilia kazi.

Weka shughuli za biashara kwenye mtiririko unaoeleweka. Angalia mifumo ya utalii, maduka, restaurants na nyingine.

Angalia →
Mfano wa timu inayopanga taratibu za biashara
02

Unganisha ujumbe.

Website, design na mazungumzo. Saidia watu kuielewa biashara na kuchukua hatua inayofuata.

Angalia →
Mfano wa timu ya ubunifu inayopanga ujumbe wa biashara
03

Wazo liwe kitu halisi.

Kutoka stationery hadi vitabu na artwork kubwa. Yape mawazo yako uwepo unaoonekana na kushikika.

Angalia →
Mfano wa uchapishaji na materials zilizokamilika
Mifumo

Zana kwa hatua yako inayofuata.

Upatikanaji, modules na scope vitathibitishwa kulingana na mahitaji yako.

01

TourismERP

Unganisha maulizo, ratiba za safari, gharama, nukuu na bookings katika mtiririko mmoja.

↗
02

Relvartec CRM

Panga leads, taarifa za wateja, hatua za mauzo, tasks na ripoti za timu.

↗
05

Education Pro

Jadili mfumo wa shule, chuo au chuo kikuu unaofuata mahitaji ya taasisi yako.

↗
06

Mfumo wa Hospitali

Jadili mfumo wa usimamizi wa hospitali, scope na modules kulingana na mahitaji ya kituo.

↗
07

Mfumo wa Kikoba

Panga taarifa za wanachama, michango na ripoti kulingana na kanuni za kikundi.

↗
08

Nijuze

App ya kusoma na kusikiliza vitabu kidijitali, yenye reading controls na narration.

↗
10

Mfumo wa Kanisa

Panga taarifa za wanachama, shughuli na utawala kulingana na mahitaji ya kanisa.

↗
Huduma

Huduma zenye kusudi.

Upatikanaji, modules na scope vitathibitishwa kulingana na mahitaji yako.

Picha ya mfano
01

Website za Utalii

Website za kampuni za safari, tour operators, hotels na lodges zenye taarifa za trips na njia za kuulizia.

↗
03

SEO ya Website

Kagua website, technical SEO, maudhui na ripoti ili kupanga maboresho ya search visibility.

↗
05

Ukuaji wa Social Media

Mpango wa kujenga hadhira inayofaa kupitia maudhui, ushirikiano na jamii ya mtandaoni pamoja na ripoti.

↗
06

Huduma za Uchapishaji

Uchapishaji wa vitabu, brochures, business cards, receipt books, stationery, mabango, posters, stickers na canvas.

↗
07

Branding

Brand identity, branded materials na signage kwa biashara yako.

↗
08

Graphic Design

Logos, posters, matangazo, packaging, publication layouts na artwork ya kuchapisha.

↗
10

Msaada wa IT

Troubleshooting, maintenance planning na msaada wa teknolojia za biashara.

↗
15

Setup na Mafunzo

System installation, configuration, onboarding na practical training kwa timu.

↗
Mfano wa mazungumzo ya kupanga biashara
RELVARTEC · Arusha, Tanzania

Unataka kujenga nini sasa?

Tuambie kilicho muhimu kwa biashara yako. Tutakusaidia kuchagua pa kuanzia.