Mwanamke Mwafrika mweusi akisikia kitabu kupitia headphones, akiwa na kitabu na simu karibu
Mifumo · Arusha, Tanzania

Soma. Sikiliza. Gundua.

Msomaji anahitaji namna ya kufurahia kitabu inayolingana na muda na mazingira yake.

Upatikanaji, modules na scope vitathibitishwa kulingana na mahitaji yako.

Jadili kupitia WhatsApp ↗
Picha ya mfano

Changamoto

Msomaji anahitaji namna ya kufurahia kitabu inayolingana na muda na mazingira yake.

Inafaa kwa nani

Wasomaji, waandishi na wachapishaji

Inatumikaje

App ya kusoma na kusikiliza vitabu kidijitali, yenye reading controls na narration. Upatikanaji, modules na scope vitathibitishwa kulingana na mahitaji yako.

  • Vitabu vya kidijitali
  • Kusoma na kusikiliza
  • Vidhibiti vya usomaji
Nijuze — Picha ya mfano

Unapata nini

  1. Scope iliyokubaliwa kulingana na mahitaji yako.
  2. Nukuu na mpango wa utekelezaji unaoeleweka.
  3. Mahitaji ya handover au mafunzo yaliyokubaliwa kabla ya kazi.
Nijuze — Picha ya mfano

Tunavyofanya kazi pamoja

  1. Tunapitia mahitaji na namna unavyofanya kazi sasa.
  2. Tunathibitisha scope, upatikanaji na hatua zinazopendekezwa.
  3. Tunakubaliana utekelezaji na handover pamoja na timu yako.

Majibu ya maswali yako

Inapatikana kwa biashara yangu?

Upatikanaji, modules na scope vitathibitishwa kulingana na mahitaji yako. Wasiliana nasi tupitie mahitaji hayo.

Bei inathibitishwaje?

Tunatoa nukuu baada ya kuthibitisha package au scope ya kazi. Hatukadirii bei kwenye page hii.

Tunaanzaje?

Tutumie WhatsApp ukieleza aina ya biashara, unachohitaji na tarehe muhimu ikiwa ipo.

Hatua nyingine yenye maana

Mfano wa mazungumzo ya kupanga biashara

Nijuze

Thibitisha scope na upatikanaji

Jadili kupitia WhatsApp ↗