Picha ya mfano

Majibu ya maswali yako

Maswali

Mnahudumia biashara zipi?

Tunafanya kazi na biashara, taasisi na watu binafsi, ikiwemo utalii, maduka, restaurants na wenye mahitaji ya uchapishaji au teknolojia.

Mifumo yote tayari imezinduliwa?

Upatikanaji, modules na scope vinathibitishwa kulingana na mahitaji yako. Ulizia mfumo husika kabla ya kupanga utekelezaji.

Ninapataje nukuu?

Wasiliana nasi kwa maelezo ya mahitaji. Kwa printing, taja ukubwa, idadi, artwork na finishing. Kwa mfumo au website, eleza biashara na taratibu zako.

Naweza kuomba demo?

Ndiyo. Taja mfumo unaotaka kuangalia. Tutathibitisha demo inayofaa na upatikanaji wake.

Mnahakikisha nafasi ya juu kwenye search?

Hapana. SEO inahusu audit, maboresho ya kiufundi, maudhui na ripoti. Matokeo ya search yanategemea mambo mengi nje ya mradi mmoja.

Mnapatikana wapi?

Relvartec ipo Arusha, Tanzania. Wasiliana nasi kujadili eneo na namna ya kukamilisha mradi wako.

Mfano wa mazungumzo ya kupanga biashara
RELVARTEC · Arusha, Tanzania

Unataka kujenga nini sasa?

Tuambie kilicho muhimu kwa biashara yako. Tutakusaidia kuchagua pa kuanzia.